FT: Simba SC 3 -0, 15 de Agosto l CAFCL - Second Leg l Uhuru stadium l 25 October 2026. {Agg 9 - 1}

Simba na Yanga zote zina nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania gentlemen na hii ni kutokana na serikali sikivu chini ya Amiri jeshi mkuu Mama Samia 🐒
Acha uchawa wako hapa mnaona bimkubwa hakubaliki mavi nyie naona mnatumia nguvu nyingi kumpaisha kila sehemu mnaleta uchawa wenu
 
Anahitajika CF, CAM na CDM watulivu, timu itakuwa imekamilika. Kwa maoni yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…