FT: Simba SC 3 -0, 15 de Agosto l CAFCL - Second Leg l Uhuru stadium l 25 October 2026. {Agg 9 - 1}

Naona dawa za kusisimua misuli zimeanza sasa kufanya kazi. Wale jamaa wa doping wanahitajika haraka sana. Haiwezekani hadi wazee kama mimi eti na wenyewe wana shine.
Mwaka huu ndio ubwala ubwela halisi, mwaka jana ilikua intro tuu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mie hapa roho kwatuuuuuu!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tangu marefa waache kupokea bahasha za SMG jahazi la wananchi linaanza kuzama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ