FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
10,392
Reaction score
15,948

#nguvumoja#...

UPDATES...
VIKOSI VINAVYOANZA LEO.


updates...
DK 5'
Simba wanapata goli safi la kuongoza kupitia kwa Shomari Kapombe.
1-0

DK 10'
Game On
Simba wanamiliki ball kwa kasi kali
1-0

DK 14'
Simba wanapata free kick nje. kidogo ya lango la Namungo FC.
Anaipiga Joshua Mutale
inaokolewa na Namungo.

DK 19'
Namungo wanapata free kick inapigwa inatolewa kwa kichwa na Chemalone, unarusha unapotea
1-0

DK 23'
Awesu Awesu anapata injury kidogo
mpira ulisamama kidogo.
unaendelea sasa
1-0

DK 26'
Joshua Mutale anafanya shambulizi kal hapa.
Anakusanya kijiji kwenye lango la Namungo, ila hafanikiwibkuutia kambani.

DK 27'
Simba wanapata free kick.
1-0

DK 31'
Sub kwa Simba! anatoka Awesu aliyepata majeruhi anaingia Ahoua.

DK 33'
Goooooooooooal, Jean Charles Ahoua anaipatia Simba goal la pili.
Akipokea assist nzuri sana kutoka kwa Shomari Kapombe.
Ni Chuma cha pili.
2-0

HT
Simba 2- 0 Namungo.

=====================
Kipindi cha Pili.

DK 46'
Mpira unaendelea bado umiliki uko kwa Simba.
2-0

DK 56'
Sub kwa Simba.
Mutale Out
Mavambo Inn

DK 59'
Simba wanapata kona.
haielti madhara kwa wapinzani

DK 75'
Sub kwa Simba.
Valentino Out
Fabrice Out
Chasambi Out
Ateba Inn
Mohamed Hussein Inn
Mzamiru Inn

DK 77'
Simba wanapata Free kick nje kidogo ya Lango la Namungo inapigwa inakuwa butu.
2-0

DK 83'
Namungo wanapata kona mbili mfululizo hazileti madhara kwa Simba SC

DK 84'
Mavambooooooooo
anatia chuma ya tatu hapa.
Baada ya kupokea assist murua kabisa kutoka kwa Lionel Ateba.
Simba 3 - 0 Namungo

DK 90'
Shomari Kapombe anatangazwa Man of the Match
3-0

Full Time
Simba SC 3-0 Namungo
 
Namungo FC timu ya mwanachama wa SSC Kasim Majaliwa,na inayonolewa na mwanachama wa simba JUMA RAMADHAN MGUNDA,tusitarajie maajabu ktk mechi hii kwani anajulikana atakayeshinda. kila lenye kheri NFC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…