FT: Simba SC 3 - 0 Red Arrows kombe la shirikisho barani Afrika

Kwa muda mrefu sijaifuatilia timu zetu za Bongo. Basi Leo nimeshuhudia huu mtanange wa Simba na Red Arrows. Miongoni mwa wachezaji walionivutia ni pamoja na huyu Benard Morrison. Leo ndio nimefahamu ni kwanini anasifika kama mzee wa kukera. Ndio maana Yanga wamemfuatilia kwa nguvu nyingi sana. Angekuwa mchezaji mbovu sidhani kama wangemhangaikia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…