FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Hasadi wewe mzima ulitimia ukafa changuruwe
 
Naitwa mwakaposa kutoka mbeya Lolote liwakute nyinyi wana wa panya road aka makolo mbumbu fc timu mbovu kutoka kusini mwa jangwa la Sahara Kila la kheri timu ya Libya

Baadae ndio siku yenu ya kutia aibu
 
Napendekeza wachezaji Hawa waanze kesho.
Samahani kwa usumbufu.
1. Kamala. Kaseja stand by
2. Kapombe. Kijiri stand by
3. Zimbwe. Nouma stand by
4. Che Malone.
5. Hamza. Chamou stand by.
6. Mavambo
7. Ahoa. Okejepha stand by
8. Kagoma. Mzamiru stand by
9. Atteba
10. Mukwala. Awesu stand by
11. Mutale. Kibu stand by

Nawasilisha Jukwaani.
Je tutachomoka
Leo....! 🤔
Kushakucha
 
Wanasimba ata kama mnaipenda timu yenu kwenye kubet msiipe direct win mikeka itachanika. Final time Simba1-2AAT.
 
Subiri mchezo wa TFF wa Yanga dhidi ya Simba. Siku hiyo tutajua "matimu mabovu."
 
Kocha akifanya selection nzuri ya first eleven na amafanya sub za kueleweka basi tunashinda ila akileta upuzi wake tutashinda ila kwa kwa tabu sana
 
Pumba tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…