FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Japo wameshinda bila cleansheet lazima tuwapongeze ndugu zetu wanasimba Kwa kuubonda mpira pale Kwa mkapa lazima tuwe wazalendo linapokuja suala la kimataifa

Pongezi kubwa ziende Kwao ingawa naona safari yao itaishia hapa makundi[emoji23][emoji23]

Lakini tusisahau ...kipimo cha Simba kwenye kombe la wamama (shirikisho) ni lazima ifike final kama Yanga ,....au ibebe ubingwa

NB: maisha bila Jf .... unaweza ona siku ni kama mwezi[emoji23][emoji23]View attachment 3105069
Usitupangie...ww kama hilo kombe ulilala na shanga zao aka medali na kukenua mwezi mzima haituhusu...
 
Back
Top Bottom