Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sikujibu 😅Utavavaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikujibu 😅Utavavaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaizidi nini cha maana hiyo Ahly Tripol hata nikubaliane na wewe kuwa ni ndogo SANA compared to Yanga Sc? Maana ni moja kati ya team kubwa huko Lybia kama ilivyo Yanga Sx hapa Tz, makombe ya ndani ya Ligi imechukua sana kama ilivyo kwa Yanga Sc hapa Tz, likija swala la kimataifa wakati Ahly Tripolo inaingia nusu fainali wewe ulikuwa na miaka 24 hujanusa hata makundi, Pesa imekuzidi mbali sana beyond maelezo.
umeizidi nini hata useme ni ndogo sana tena saaaana?
NJOO NA FACTS.
Picha la Kutisha❤️❤️❤️
Kumbe rank za CAF mnaziamini. SASA Simba ni ya 6😁*Al ahly tripoli ubingwa wa ligi ×13
ubingwa super cup ×2
ubingwa Libyancup×7.
Jumla vikombe 22.
*Young African ubingwa ligi ×30
Jazilia vikombe vingine vya ndani.
Young African ya 13 kwa ubora Africa.
Al ahly tripoli hata top 20 haipo.
Aya nani mkubwa hapo kati ya Ahly Tripoli na Yanga!??
Si umetaka facts?
Hizo hapo.
Mara 30 hiyo umeitoa wapi mbona mlipoulizwa na Zakazakazi mlishindwa kuelezea?*Al ahly tripoli ubingwa wa ligi ×13
ubingwa super cup ×2
ubingwa Libyancup×7.
Jumla vikombe 22.
*Young African ubingwa ligi ×30
Jazilia vikombe vingine vya ndani.
Young African ya 13 kwa ubora Africa.
Al ahly tripoli hata top 20 haipo.
Aya nani mkubwa hapo kati ya Ahly Tripoli na Yanga!??
Si umetaka facts?
Hizo hapo.
Ndilo liliwapa pointi utopolo na kufahamika.Kombe la mbuzi ni uchafu hata kulitaja ni aibu🚮🚮
Cbe ya ngapi!?*Al ahly tripoli ubingwa wa ligi ×13
ubingwa super cup ×2
ubingwa Libyancup×7.
Jumla vikombe 22.
*Young African ubingwa ligi ×30
Jazilia vikombe vingine vya ndani.
Young African ya 13 kwa ubora Africa.
Al ahly tripoli hata top 20 haipo.
Aya nani mkubwa hapo kati ya Ahly Tripoli na Yanga!??
Si umetaka facts?
Hizo hapo.
Kwasababu zilikuwa zinashiriki timu za hovyo na ndio hapo hadhi yake ikapotea.Kombe la mbuzi ni uchafu hata kulitaja ni aibu🚮🚮
Unawezaje kutaja mbele ya watu wazima eti na mimi nashiriki shirikisho.... ni aibu tupu .Kwasababu zilikuwa zinashiriki timu za hovyo na ndio hapo hadhi yake ikapotea.
Katika historia ya hii michuano tangu kuanzishwa kwake hakujawahi kutokea timu zinazoshuka daraja kwenye ligi yao kufika level za nusu fainali confederation.
Ni kwa mara ya kwanza CAF wakasema ni kombe ambalo lina hasara tu, hiyo ni baada ya kuona aina ya washiriki walioko.
Na ndio maana kwa mara ya kwanza CAF wakafikiria kulifuta.
Ni kwa mara ya kwanza katika historia ya michuano hii kupata mshindi wa kombe hili anayekuwa anapambania kutoshuka daraja kwenye ligi yao.
Simba tumekuja kuondoa hizo nuksi zilizoachwa na hizo Clubs.
Na kubadili mtizamo hasi kwa viongozi wa CAF waliokuwa wamekata tamaa kabisa na haya mashindano kwa kurudisha hadhi halisi ya michuano.
Simba tumekuja kutoa ladha ya mechi yenye kiwamgo cha fainali katika hatua za kutafuta makundi.
Mie nimezungumzia kuhusu Yanga na Ahly tripoli.Cbe ya ngapi!?
We jamaa huwa unakunywa matap tap ama nini!??Mara 30 hiyo umeitoa wapi mbona mlipoulizwa na Zakazakazi mlishindwa kuelezea?
Mnahesabuje mpaka mnafikia hizo namba?
Msipende kuwasilikiza wazee sio kila stori wanazowasimulia ni za kweli zingine ni uzushi tu.
Subiri kama mtabaki ya 6 hapo hapoKumbe rank za CAF mnaziamini. SASA Simba ni ya 6😁
Kwamba wamekataa goli la 3 ... Ateba alikuwa offside
SSC 2-1 AHLI
Ateba alikua offside