Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
HahahaaHizi ndio dk za hatari zaidi kwa Simba
Pasi ngapi mkuu?kwamba ujaona faulo refa kapeta mkuu ama mahaba yamekuelemea kama refa
Hapo Yanga Sc mnalipa mchezaji yoyote 130M kwa mwezi?Ngoja tar 16 tuje tusambaratishe tena hiki kikundi cha wahuni, maana akili zao fupi kweli maana wanajisahau kwa vitu vidogo mno
Ssa huyu wa kumfunga leo ndo ujione na wew una timu?!!
Yeah!...Ile ahadi itekelezwe...