Ok boss.nimeacha kuona baada ya maamuzi na udhaifu wa refa mkuu
Sisi tulikuwa tunakanyaga mule mule yule mzungu pori alipokuwa anabwabwaja au umesahau!? Simba ndiye alianza kucheza shirikisho, na yule mzungu pori akawa anatapika kwa nyuma!๐คฃ๐คฃhii shirikisho mna shangilia hivi wakati mlikuwa mna chonga sana
AwaaapiiiiiiSimba 3-1 Al Ahli Tripoli na mashoga zakeView attachment 3103422
Ngoja sasa wanarudi kwenye league kuendeleza moto subiri tu utaona.Lolote baya liwakute ndugu zangu
Tungekuwa tunahesabu chuma nne lakini bado ushindi mnonoGola zuri. What a counter attack. Kilichobaki ni kuanza kuwatupia makopo ya maji kama walivyotufanyia kule kwao.
Tuwapige hata jiwe 1 tu mmoja wao amwage damu. Majinga sana haya maarabu.