Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
mkuu si 2-1 au lile moja lilifutwaWamesawazisha
Gomez
Kwani ngapi huko ?Wamesawazisha
Gomez
Jibu la kwanza huwa sahihiTulia ww singida 3-2 simba hii game bado sana
Mzee hawajasawazisha bado, hivi Huwa hujui kiswahili vizuri?Wamesawazisha
Gomez
Manula mara nyingi akikutana na mipira ya hivyo huwa inamshindaDah.. Manula
Mpira huwa hautaki masiharaAishi Manula Ni Mpuuzi Goli lilelile unafungwa mara 100
Mkunja vi buktaHaya ndio magoli Sasa. Kama la Aziz K vs Manula[emoji23][emoji23]