FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

Uko Sawa kabisa. Zimbwe anapenda Sana sifa binafsi lakini angeweza kuipa timu goli halafu angesifiwa bila kujali namna goli lilivyofungwa.
Hili tatizo naliona sana mechi ya leo. Sifa binafsi na pasi zisizo na mashiko zinatunyima fursa ya kumaliza mchezo huu mapema. Zimbwe hakuwa na sababu ya kucheza alivyocheza.
 
Mechi bado ipo wazi kwa kila timu.., ubaya kwa Simba hawana tena kikosi nje!!!, Singida wamekosa umakini vinginevyo walipaswa kuwa na goli zaidi ya 2. Simba hawana uwezo wakuizuia singida isipate gori lingine na Kanouute asipobebwa na refa lazima achukue mwekundu wake.... Nje ya kubebwa Simba hawezi shinda hii mechi... See you after 90mins
 
Alisikika Utopolo akiwa kwenye dimbwi
 
Kocha aongee na wachezaji wake, hata kama anataka soka la kushambulia ni lazima aangalie aina ya wachezaji alionao kikosini.

Tatizo la Simba Sc leo lipo kwenye fullbacks na mabeki kwa ujumla, wanapanda sana mbele kupandisha mashambulizi kitu ambacho kinawagharimu pale team inaponyang'anywa mpira, wana speed ndogo na ndio maana foul zinakuwa nyingi (muda wote wanakuwa kwenye hekaheka za kuwafukuza washambuliaji wa SBS badala ya kuwakabia mbele).

Mabeki wasitoke sana nyuma uli mashambulizi yanapokuja yawe mbele yao, sio nyuma yao.

Kama tutapoteza hii game, basi itakuwa ni kwa fouls au counters.
 
Back
Top Bottom