FT: Simba SC 3-2 Namungo FC | Ligi Kuu NBC

Jamani hii Simba sasa ndio nini kurushana roho hivi? Huyo Nindi anafanya nini uwanjani? Toure yuko wapi? Na hata Sub haonekani,

Nakerekwa mnoo, khaaaah
Bado Berkane sasa
 
BADO inahitajika... attacking skills+;...
LIBASSE mpira wa kuvuta vuta sio Morden football....
Chama amekuwa mzito,...
Chama ni msimu wake wa mwisho kuwa Simba
 
Hahaha....kama nakuona ulivyonuna pale dumbia kafanya yake🤣🤣🤣🤣

Nyie ubingwa msimu huu hamna chenu. Mkaze tako tuu huko champions league
Acha kabisa Mtani alinikera mbaya.

Japo we Mzab na wewe bana 😔kwa hiyo umekosa maneno yoote ukaamua utumie hilo neno kota. Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…