FT: Simba SC 3-2 Namungo FC | Ligi Kuu NBC

Ni macho yananidanganya au? 🤣🤣🤣
Vipi huko kumbe Kolo kachezea ?

Nishauri kwa mpira unavyoenda Kolo atafungwa nikun'gute ndala nikamalizie dkk zilizobaki ? maana nilijua Kolo atashinda ndio maana sijaenda kucheki
 
Yale majigambo ya mapema ya Namungo nina wasiwasi nayo. Uchawi upo ndugu zangu.
 
Matokeo yakiisha hivi hivi , inabidi nijiunge Gb 2 za haraka Leo itakuwa sio siku ya kukosa kushinda Insta
 
Vipi huko kumbe Kolo kachezea ?

Nishauri kwa mpira unavyoenda Kolo atafungwa nikun'gute ndala nikamalizie dkk zilizobaki ? maana nilijua Kolo atashinda ndio maana sijaenda kucheki
Tayari amechezea viwili.

Hamna kwa leo pumzika hawa Namungo sidhani kama wataweza kushikilia bomba kwa dakika zote hizi zilizobakia. 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…