Poleeeee ππππYa Leo too much , salama ya NBC Mimi kufuatilia Simba asidhinde Leo
Mpira kudrible drible hauna hatari kuliko wa kuachia ....Mmmh Huu upepo Sio mzuri kabisa kwetu, kuna nini kwani?
Kwenye dakika za nyongeza mtabewbwa tena lazima waongeze nyingi HawaPoleeeee ππππ
Na tukibebwa tena afu tukapata la 3 itakuajeee?
Woiiiiih
PoleKwenye dakika za nyongeza mtabewbwa tena lazima waongeze nyingi Hawa
Simba SC(sports club) ni timu ya michezo mingi. Zamani tulikua na timu ya masumbwi(boxing), netball na hata riadha na ndio usajili wetu kwenye vyombo husila unavyosemaHivi Ses nikisema uniambie utofauti nitakuwa nakosea kwani?
πππTutaambia nini watu sisi leo. π
πππKuanzia dkk 80 naanza kuminya , nikianza sasa ninaweza sababisha athari za kiafya
Njoo tenaa usemee kituuu, ππππKwenye dakika za nyongeza mtabewbwa tena lazima waongeze nyingi Hawa
Mkoba wa Mzee Mpili umekufit kweli kweli.Tutaambia nini watu sisi leo. π
Mbeleko hiiTutaambia nini watu sisi leo. π
Daaah.Woyooooooooooooooooo
Alikua sahihi, ππππ3-2 hii
Baada ta kumtoa yule mganga tumepiga 3Daaah.
Sikupishana naye sana kiumri. Hivyo uko sahihi Mkuu.Mkoba wa Mzee Mpili umekufit kweli kweli.
Yeyote anakayeNitag mambo ya Ligi kuu huyo ananitagutia Ban kwa makusudi.Naachana rasmi na kufuatilia Ligi kuu , kuanzia Leo msiniTag popote kuhusu mechi za ligi kuu ya NBC