FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

I'm still wonder how Mechi ya NBC iwe na mvuto na yenye ushindani zaidi kuliko mechi ya Club Bingwa tena iliyopewa title ya ufunguzi??
Hiyo ufunguzi hewa walijipa tu
 
Mkuu kama ulisema Yanga hatovuka makundi basi ni kukubaliana na hoja zako tu 🤣😁😁😁😁😁😁😁🤣
Makundi anapangwa na nani?

Ebu fikiria tu

Mwaka juzi mlipanga na Zalan, hao Zalan kwa kipindi kile walikuwa ni level ya Majimaji.

Hiki ndio kiwanja chao cha nyumbani niambie mngeweza kupata hata goli moja endapo mechi yao ingeamukiwa kucheza hapa?



Lakini pamoja na unafuu huo wa kupewa kibonde haikutosha mpaka pale mlipofanyiwa favor kwa hiyo team kucheza michezo yote hapa hapa.

Mwaka jana tena hivyo hivyo na ile kampuni ya uuzaji mtindi Asas. Kabla ya draw hakuna mtu akiyekuwa anajua kuwa Asas anatimu sio mimi tu hadi wewe hukuwahi kujua.

Dusko tena likawaangukia, mechi mbili zikachezwa chamazi.

Juzi tena mkaja na hao Vitalo kwa mfumo uleule yani timu kibonde lakini mechi zote zimechezwa hapa hapa.
 
Kumbe hadi yule mshangazi mwenye watoto muomba PC na ni mwanafunzi nae ni kolo😂😁😁😁😁Cc ephen_
Nilikuwa nasikia tu kwamba unageuzwa kumbe kweli wewe ni mwanamke mwenzangu....ndiyo Nina watoto ulitaka niwe mgumba? Niliomba Pc nimefanikiwa kupewa...Kuna kingine? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aisee Lamomy upo sahihi kunyooka na huyu mwenye umbo namba 8 mwenzetu
 
Mkuu hoja zako Zinachekesha sana Cc adriz Shadeeya 😁😂😁😁😁😁😁
 
Na Simba alivyopigwa 5 levo zake sawa na zipi mwana lunyasi Cc ephen_
 
Kama nyie mlivyopangiwa na CAF kule
Hata nyinyi ndiyo mngekuwa Vital'o, bado maumivu yangekuwepo tu. Ile Yanga inachezea sifa! Haijitafuti ile kama ilivyo kwa timu yako. Shauri zako kama huamini.
 
😂😂😂 nkamu hilo boga wanalipakua ni suala la muda wote mtalijua.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…