Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio namchokoza ili anibondeWanaume hatugombani kirahisi
Hawa wanetu hawachelewi kukimbia nyuzi zao na kukataa kuanzisha suala la muda tu 😂😁😁Subiri sisi tukija kuanza kucheza na hizo timu uone mvua ya magoli itakayonyesha
Kilio chake kitafika mpaka TFF
😂uliupiga mwingiNilikutetea kwenye ugomvi kwa id yangu nyingine
Nimecheka kama mazuriSimba ni dude kubwa ..Lazima uwe na heshma unaporipoti matukio yake
Mimi vyovyote ukiniona ke/me sawa tuAkubonde tena?
mbona handwriting yako inanitisha
you sound like Ke gender!!
I apologize kama nitakukwaza
Makundi anapangwa na nani?Mkuu kama ulisema Yanga hatovuka makundi basi ni kukubaliana na hoja zako tu 🤣😁😁😁😁😁😁😁🤣
Nitakutete kwa mtu yeyote atakaye kuzingua unitag nitakuja 😎😎😎😂uliupiga mwingi
Nilikuwa nasikia tu kwamba unageuzwa kumbe kweli wewe ni mwanamke mwenzangu....ndiyo Nina watoto ulitaka niwe mgumba? Niliomba Pc nimefanikiwa kupewa...Kuna kingine? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aisee Lamomy upo sahihi kunyooka na huyu mwenye umbo namba 8 mwenzetuKumbe hadi yule mshangazi mwenye watoto muomba PC na ni mwanafunzi nae ni kolo😂😁😁😁😁Cc ephen_
Mkuu hoja zako Zinachekesha sana Cc adriz Shadeeya 😁😂😁😁😁😁😁Makundi anapangwa na nani?
Ebu fikiria tu
Mwaka juzi mlipanga na Zalan, hao Zalan kwa kipindi kile walikuwa ni level ya Majimaji.
Hiki ndio kiwanja chao cha nyumbani niambie mngeweza kupata hata goli moja endapo mechi yao ingeamukiwa kucheza hapa?
View attachment 3078958
Lakini pamoja na unafuu huo wa kupewa kibonde haikutosha mpaka pale mlipofanyiwa favor kwa hiyo team kucheza michezo yote hapa hapa.
Mwaka jana tena hivyo hivyo na ile kampuni ya uuzaji mtindi Asas. Kabla ya draw hakuna mtu akiyekuwa anajua kuwa Asas anatimu sio mimi tu hadi wewe hukuwahi kujua.
Dusko tena likawaangukia, mechi mbili zikachezwa chamazi.
Juzi tena mkaja na hao Vitalo kwa mfumo uleule yani timu kibonde lakini mechi zote zimechezwa hapa hapa.
Na Simba alivyopigwa 5 levo zake sawa na zipi mwana lunyasi Cc ephen_Makundi anapangwa na nani?
Ebu fikiria tu
Mwaka juzi mlipanga na Zalan, hao Zalan kwa kipindi kile walikuwa ni level ya Majimaji.
Hiki ndio kiwanja chao cha nyumbani niambie mngeweza kupata hata goli moja endapo mechi yao ingeamukiwa kucheza hapa?
View attachment 3078958
Lakini pamoja na unafuu huo wa kupewa kibonde haikutosha mpaka pale mlipofanyiwa favor kwa hiyo team kucheza michezo yote hapa hapa.
Mwaka jana tena hivyo hivyo na ile kampuni ya uuzaji mtindi Asas. Kabla ya draw hakuna mtu akiyekuwa anajua kuwa Asas anatimu sio mimi tu hadi wewe hukuwahi kujua.
Dusko tena likawaangukia, mechi mbili zikachezwa chamazi.
Juzi tena mkaja na hao Vitalo kwa mfumo uleule yani timu kibonde lakini mechi zote zimechezwa hapa hapa.
Hata nyinyi ndiyo mngekuwa Vital'o, bado maumivu yangekuwepo tu. Ile Yanga inachezea sifa! Haijitafuti ile kama ilivyo kwa timu yako. Shauri zako kama huamini.Kama nyie mlivyopangiwa na CAF kule
Kwa hiyo ulitaka niseme I still?
Moto umeuanzisha ujue kuuzima....si una pdf langu limwage nijue pa kuanzia.Nilishajua si mwanaume tangu nione wagombana na wanaume.Ptuuu! Ni kheri angemeza Misoprostol☹️Kumbe hadi yule mshangazi mwenye watoto muomba PC na ni mwanafunzi nae ni kolo😂😁😁😁😁Cc ephen_
😂😂😂 nkamu hilo boga wanalipakua ni suala la muda wote mtalijua.!Nilikuwa nasikia tu kwamba unageuzwa kumbe kweli wewe ni mwanamke mwenzangu....ndiyo Nina watoto ulitaka niwe mgumba? Niliomba Pc nimefanikiwa kupewa...Kuna kingine? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aisee Lamomy upo sahihi kunyooka na huyu mwenye umbo namba 8 mwenzetu