FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

Mnamuomba pesa za kula mnajishaua JF hamna njaa, kumbe wote choka mbaya yy mpk awatumie pesa ndio mna survive 🤣🤣🤣

Bila yeye hamtoboi, tena ww ndio unamuomba sana pesa na kujifanya unambebisha eti mkichat 😹😹😹
Aisee🙌
 
Aisee,nimevua kofia🙌 unajua nilikuwa najua ni mtu tu kumbe hafai hata kuheshimika🙌
😂😂😂 huyo nikiwa namkanda nyie tulieni namjua vyedi, Hilo boga la kiangazi.!

Kasema crew yote kawalamba peku, tena yy ndio katuvujishia picha za demu wake yule bonge anaye m Cc 🤣🤣🤣
 
Hivi wanaowapataga nyie mademu humu huwa wanafanyaje? Mimi mbona sijawahi kupata hata mmoja? Au mnapeana kwa Ukoo? 🤣🤣
 
Akizeeka batiki watamtaka kwa dau lolote.
Wamezusha eti kuna timu inamtaka kwa 2B

Yani Azizi Ki tu ambaye amefanya makubwa na bado yupo kwenye peak hakuna ofa iliyofikia dau hilo.

Then from nowea eti Club ambayo ina ndoto za kucheza World Cup of Club imsajili Mzize kwa 2B.

Mzize mwenye goli 4 kwa msimu mzima. Ndio akawe tumaini mbele ya Real Madrid, Barcelona, Chelsea....

Haya ni matusi yaliyohalalishwa
 
Ukute kuna kamati ya kuandaa maigizo ndo wanakuja na mambo kama haya na yake ya kina mobeto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…