FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

Aisee,nimevua kofia🙌 unajua nilikuwa najua ni mtu tu kumbe hafai hata kuheshimika🙌
😂😂😂 huyo nikiwa namkanda nyie tulieni namjua vyedi, Hilo boga la kiangazi.!

Kasema crew yote kawalamba peku, tena yy ndio katuvujishia picha za demu wake yule bonge anaye m Cc 🤣🤣🤣
 
To yeye umeona 😹😹😹
Na wale wengine ulisema wanajifanya wana misimamo kumbe wagawaji wa kimya kimya!! 🤣🤣🤣

Haya mashosti mje mjionee nikiwaambia mnajifanya nyenyee midomo mirefu km chuchunge, haya buzi lenu linawavua nguo na wengine soon mtaanikwa STAY TUNED 😹😹😹
Hivi wanaowapataga nyie mademu humu huwa wanafanyaje? Mimi mbona sijawahi kupata hata mmoja? Au mnapeana kwa Ukoo? 🤣🤣
 
Akizeeka batiki watamtaka kwa dau lolote.
Wamezusha eti kuna timu inamtaka kwa 2B

Yani Azizi Ki tu ambaye amefanya makubwa na bado yupo kwenye peak hakuna ofa iliyofikia dau hilo.

Then from nowea eti Club ambayo ina ndoto za kucheza World Cup of Club imsajili Mzize kwa 2B.

Mzize mwenye goli 4 kwa msimu mzima. Ndio akawe tumaini mbele ya Real Madrid, Barcelona, Chelsea....

Haya ni matusi yaliyohalalishwa
 
Wamezusha eti kuna timu inamtaka kwa 2B

Yani Azizi Ki tu ambaye amefanya makubwa na bado yupo kwenye peak hakuna ofa iliyofikia dau hilo.

Then from nowea eti Club ambayo ina ndoto xa kucheza World Cup of Club imsajiki Mzize kwa 2B.

Mzize mwenye goli 4 kwa msimu mzima. Ndio akawe tumaini mbele ya Real Madrid, Barcelona, Chelsea....

Haya ni matusi yaliyohalalishwa
Ukute kuna kamati ya kuandaa maigizo ndo wanakuja na mambo kama haya na yake ya kina mobeto.
 
Back
Top Bottom