3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Malizia mkuu, tamu kama niniSimba tamu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malizia mkuu, tamu kama niniSimba tamu!!
Ngoja wakusikie, wanasema comments kimya kimyaRole model wa Mzize huyo.
Baada ya Simba day nilimshudia Mzize akijaribu kupiga mashuti ya mbali kama role model wake alivyokuwa anafanya.
Akizeeka batiki watamtaka kwa dau lolote.Role model wa Mzize huyo.
Baada ya Simba day nilimshudia Mzize akijaribu kupiga mashuti ya mbali kama role model wake alivyokuwa anafanya.
Sijafanikiwa kuelewa chochote!!Naona humu kuna mechi 2
Simba vs Fountain Gate
Vincenzo Jr vs Single moms
Anakazana ili asajiliwe Jangwani.Debora anajua sana
SorSielewi kitu hapa hata.
It sounds childishness
Aisee🙌Mnamuomba pesa za kula mnajishaua JF hamna njaa, kumbe wote choka mbaya yy mpk awatumie pesa ndio mna survive 🤣🤣🤣
Bila yeye hamtoboi, tena ww ndio unamuomba sana pesa na kujifanya unambebisha eti mkichat 😹😹😹
Naunga mkono hojaAnakazana ili asajiliwe Jangwani.
Kipimo cha mafanikio
😂😂😂 huyo nikiwa namkanda nyie tulieni namjua vyedi, Hilo boga la kiangazi.!Aisee,nimevua kofia🙌 unajua nilikuwa najua ni mtu tu kumbe hafai hata kuheshimika🙌
Hivi wanaowapataga nyie mademu humu huwa wanafanyaje? Mimi mbona sijawahi kupata hata mmoja? Au mnapeana kwa Ukoo? 🤣🤣To yeye umeona 😹😹😹
Na wale wengine ulisema wanajifanya wana misimamo kumbe wagawaji wa kimya kimya!! 🤣🤣🤣
Haya mashosti mje mjionee nikiwaambia mnajifanya nyenyee midomo mirefu km chuchunge, haya buzi lenu linawavua nguo na wengine soon mtaanikwa STAY TUNED 😹😹😹
Wamezusha eti kuna timu inamtaka kwa 2BAkizeeka batiki watamtaka kwa dau lolote.
Hizi game 2 za wanusurika kushuka daraja zitawadanganya sana makolo na kuona timu imejipata kumbe bado kabisa.
Ukute kuna kamati ya kuandaa maigizo ndo wanakuja na mambo kama haya na yake ya kina mobeto.Wamezusha eti kuna timu inamtaka kwa 2B
Yani Azizi Ki tu ambaye amefanya makubwa na bado yupo kwenye peak hakuna ofa iliyofikia dau hilo.
Then from nowea eti Club ambayo ina ndoto xa kucheza World Cup of Club imsajiki Mzize kwa 2B.
Mzize mwenye goli 4 kwa msimu mzima. Ndio akawe tumaini mbele ya Real Madrid, Barcelona, Chelsea....
Haya ni matusi yaliyohalalishwa
Hizi siku zenu za kufurahi, kamwe huwezi kuzisikia zile kelele za miaka nenda za kumkataa Mangungu, Matola, na baadhi ya wachezaji.Tff tupatie kombe letu