3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Naunga mkono hoja π€£ππππππππLeo hatutasikia milio au kelele zifuatazo:
1. Mangungu & Try again out
2. Timu tuipe muda
3. GSM anadhamini timu nyingi hamna fair competition
leo wacha nijiunge simba bando4π₯΄
Tunatunza hizi list [emoji12][emoji16]Mwendo wa Simba sasa hivi ni kushusha vipigo vizito haijalishi ni mkongwe kwenye ligi au new comer unapigwa mwana ukome
Siyo lazima kukomenti kila uziLeo hatutasikia milio au kelele zifuatazo:
1. Mangungu & Try again out
2. Timu tuipe muda
3. GSM anadhamini timu nyingi hamna fair competition
Naunga mkono hoja hii Mimi nishaitunzaTunatunza hizi list [emoji12][emoji16]
π€£π€£π€£ Maana hakuna namnaleo wacha nijiunge simba bando
Tukiwaambie muwe mnatupa sisi hamuelewi. Mnakimbilia kudate na bad boys matokeo yake mnaanza kudhalilishwa.πππ muulize Vincenzo Jr ndio anajua anavyowavua mademu zake wa usiku wa manane πΉ
weka goli tuone,Role model wa Mzize huyo.
Baada ya Simba day nilimshudia Mzize akijaribu kupiga mashuti ya mbali kama role model wake alivyokuwa anafanya.
Whoever take women for granted namwona boya tu!!Tukiwaambie muwe mnatupa sisi hamuelewi. Mnakimbilia kudate na bad boys matokeo yake mnaanza kudhalilishwa.
Wazee Sugu tupo na shughuli tunaijua kuliko wale mapoti 6 waliotolewa jasho na binti 1 tu. Wazee Sugu tunapiga show kali, tunakunjua pochi na bado hatuwadhalilishi Manzi wetu.
mtani si kwamba unatunangaSimba ni LITIMU likubwaaaaaaa
In MUHASIBU voice