3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Mwendo wa Simba sasa hivi ni kushusha vipigo vizito haijalishi ni mkongwe kwenye ligi au new comer unapigwa mwana ukome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja 🤣😁😁😁😁😁😁😁😁Leo hatutasikia milio au kelele zifuatazo:
1. Mangungu & Try again out
2. Timu tuipe muda
3. GSM anadhamini timu nyingi hamna fair competition
leo wacha nijiunge simba bando
Tunatunza hizi list [emoji12][emoji16]Mwendo wa Simba sasa hivi ni kushusha vipigo vizito haijalishi ni mkongwe kwenye ligi au new comer unapigwa mwana ukome
Siyo lazima kukomenti kila uziLeo hatutasikia milio au kelele zifuatazo:
1. Mangungu & Try again out
2. Timu tuipe muda
3. GSM anadhamini timu nyingi hamna fair competition
Naunga mkono hoja hii Mimi nishaitunzaTunatunza hizi list [emoji12][emoji16]
🤣🤣🤣 Maana hakuna namnaleo wacha nijiunge simba bando
Tukiwaambie muwe mnatupa sisi hamuelewi. Mnakimbilia kudate na bad boys matokeo yake mnaanza kudhalilishwa.😂😂😂 muulize Vincenzo Jr ndio anajua anavyowavua mademu zake wa usiku wa manane 😹
weka goli tuone,Role model wa Mzize huyo.
Baada ya Simba day nilimshudia Mzize akijaribu kupiga mashuti ya mbali kama role model wake alivyokuwa anafanya.
Whoever take women for granted namwona boya tu!!Tukiwaambie muwe mnatupa sisi hamuelewi. Mnakimbilia kudate na bad boys matokeo yake mnaanza kudhalilishwa.
Wazee Sugu tupo na shughuli tunaijua kuliko wale mapoti 6 waliotolewa jasho na binti 1 tu. Wazee Sugu tunapiga show kali, tunakunjua pochi na bado hatuwadhalilishi Manzi wetu.
mtani si kwamba unatunangaSimba ni LITIMU likubwaaaaaaa
In MUHASIBU voice