FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

Ni kibonge kweli🀣
Nina mmoja huyo anafanyia bank x. Huyu kibonge wangu chemistry yetu tunaijua wenyewe! hapa tumepigana tofali.

Mind u hatujawahi kukutana bila show! 🀣🀣🀣
Tukibahatika kuwasaliana tu, kwisha habari mwaka wa 5 huu.
Nahisi aliyetuloga alikufa na code zake
 
Hizi mbwembwe utembee nazo mpaka mwisho Mtani sio ikifika katikati unaanza kutuacha wenyewe. 🀣🀣
Daaah kwa hiyo tusipost magoli yetu, tukipost inakuwa mbwembwe

Nyie mlivyocheza jana na wale watutsi sisi mbona tulikaa kimya tukawaacha mfurahie.
 
Daaah kwa hiyo tusipost magoli yetu, tukipost inakuwa mbwembwe

Nyie mlivyocheza jana na wale watutsi sisi mbona tulikaa kimya tukawaacha mfurahie.
Lengo la kauli yangu kwamba hizi mambo iwe muendelezo Mtani.
 
Hee! Usisahau hata hiyo historia inawezekana kuvunjika.
Naongea kwa mujibu wa statistics za TFF.sio porojo za kijiwe cha kahawa.timu yako ipo nafasi ya ngapi?
 

Attachments

  • Screenshot_20240825_210728_Sofascore.jpg
    229.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…