Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
BaelezeeFountain gate wanashiriki klabu bingwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BaelezeeFountain gate wanashiriki klabu bingwa?
Kashafunga hukooDaaaah huyu Mukwala mi nawaambieni hii mara ya tatu
Anachohitajika kufanya ni kufunga bao moja tu la kuanzishia njia.
Moja tu
Foujtain gate walijitoa singida ndio maana hata jina limebadirika wapo kwenye crisisBaelezee
ngoja tuone sasaHuyu Mukwala akifunga goli moja tu basi the rest yatakuwa yanaingia yenyewe tu
Cha msingi ayaanzishie tu njia
Speaking of the devilKashafunga hukoo
Subiri mechi inayofuata mwasibuJamaaa Mukwala ana mikwara 😀😀😀
Hawa kila wanachosema nikuitikia tu 😂😁😁5imba ni mental case wanafurahia kuwafunga ihefu magoli mengi wakati jana walituambia Vital O ni vibonde
Kumbe wivu na kijiba cha roho kinawasumbua..!