FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

Fountain gate wanashiriki klabu bingwa?
Kushiriki Club Bingwa ni itifaki wala hakusadifu ubora wako dhidi ya timu zingine kutoka nchi zingine ambazo hazishiriki.

Ligi ya Burundi ni dhaifu isiyoweza kufikia nusu ya ubora wa ligi ya Tanzania.

The same kuna timu zipo Misri huko ni kali ila hazijashiriki Club bingwa wala Shirikisho kwasababu zimemaliza nafasi ya 10 kwenye ligi yao.

Hizo timu haina maana zimezidiwa ubora na Coastal Union ambao wao wamepata hiyo karata ya kushiriki michuano ya shirikisho.
 
Kati ya fountain gate na vitalo ipi timu imara?
 
Kushiriki Club Bingwa ni itifaki wala hakusadifu ubora wako dhidi ya timu zingine kutoka nchi zingine ambazo hazishiriki.

Ligi ya Burundi ni dhaifu isiyoweza kufikia nusu ya ubora wa ligi ya Tanzania.

The same kuna timu zipo Misri huko ni kali ila hazijashiriki Club bingwa wala Shirikisho kwasababu zimemaliza nafasi ya 10 kwenye ligi yao.

Hizo timu haina maana zimezidiwa ubora na Coastal Union ambao wao wamepata hiyo karata ya kushiriki michuano ya shirikisho.
Mkuu kama ulisema Yanga hatovuka makundi basi ni kukubaliana na hoja zako tu 🤣😁😁😁😁😁😁😁🤣
 
I'm still wonder how Mechi ya NBC iwe na mvuto na yenye ushindani zaidi kuliko mechi ya Club Bingwa tena iliyopewa title ya ufunguzi??
 
Back
Top Bottom