FT: Simba SC 4 - 1 Geita Gold | NBC Premier League | Azam Complex | Mei 21, 2024

FT: Simba SC 4 - 1 Geita Gold | NBC Premier League | Azam Complex | Mei 21, 2024

Kwa mwendo huu, ni afadhali Simba sasa iongezea mabao kufikia 8-1 kusudi wafute advantage GD advantage ya Azam. Inaonekana Geita wameshaingia kwenye mfumo wa Simba sasa.

Neno jepesi Kwako ni Pole ndugu.

Panadol itaweza kukusaidia
 
AZAM bado wana nafasi kubwa ya kua nafasi ya pili..!
Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom