Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣pole sana.Nilishakukosoa maana uliandika kinafiki kweli ile nimekujibu tu nashangaa goli, ikabidi nifute.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣pole sana.Nilishakukosoa maana uliandika kinafiki kweli ile nimekujibu tu nashangaa goli, ikabidi nifute.
Hutaki kuwaona Simba club bingwa?😳😳 kuwatakia rafiki zangu ushindi ni roho mbaya??
😀😀tusubiri uishe 🤭😂😂😂😂 sijui nacheka nini
Dah, aiseehElfu 20 Bora ningenunua Kuku nirudishe afya,
WanaSimba tuna msimu mbovu kweli.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣pole sana.
Kwani juzi si alikimbia Tanga mara moja?Mgunda is overrated..!
Arusha kuna kiwanja kipya kipo kwenye plan.Kuna uwanja kama huu halafu mechi zinapelekwa Arusha eti kuinua soka
Kama ni kuinua soka si wajenge viwanja kama hiki ambacho mtu binafsi kabisa kajenga mwenyewe kwa hela yake😁😁😁
SijakuelewaKwani juzi si alikimbia Tanga mara moja?
Mungu awatangulie GeitaTuwe na huruma, Geita wanashuka hawa daraja.
Mungu awatangulie AzamKashinda 0-2
Kinehe namhala!Geita ni nyumbani kabisa