FT: Simba SC 4 - 1 Geita Gold | NBC Premier League | Azam Complex | Mei 21, 2024

FT: Simba SC 4 - 1 Geita Gold | NBC Premier League | Azam Complex | Mei 21, 2024

Nafasi ya pili nayo hiyoo! inayeyuka.
CAF championship ya mwakani inaelekea kukosa timu nyingi izilizozoeleka.
(1) Orlando Pirates imeshatolewa,
(2)Simba ina uwezekanao mkubwa sana wa kutolewa sasa
(3) ASEC Mimosas imeshatolewa
(4) Wydad imeshatolewa
(5)
 
Timu imekuwa kama togwa ya ngomani kila mtu anachota na kujinywea tu,yaani hadi mtu unajuta kufuatilia hilo timu.
 
Huyu Simba wa Leo anachechemea.....Simba inahitaji mabadiliko
 
Back
Top Bottom