FT: Simba SC 4 - 1 Geita Gold | NBC Premier League | Azam Complex | Mei 21, 2024

FT: Simba SC 4 - 1 Geita Gold | NBC Premier League | Azam Complex | Mei 21, 2024

Sijui kwanini Azam hawana matangazo mazuri, haya matangazo ya vyandarua sijui shela badala ya chandarua yanakera zaidi nyakati kama hizi.
Mbona tangazo linaeleweka au we unataka mbu waendelee kututafuna.
 
Ile penati ni aibu kwa soka letu aisee. Yaani refa alikuwa na matokeo yake mfukoni
 
Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex.

Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja.
Mechi hii itapigwa saa 1:00 jioni. Karibuni tufuatilie game hii.

View attachment 2996205
Kikosi cha Simba SC

View attachment 2996207
Kikosi cha Geita Gold
Piga hao umbwa simba washike nafasi ya tatu
 
Back
Top Bottom