FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Naskia kabla ya mechi wachezaji wa JWA waligombana na walinzi huko kwenye kona za uwanja

nini kilitokea
 
Jobe kakosa kapaisha ilikuwa kidogo awakande. Chama yupo poa mno. Kipa wa JWA kaomba poo mpira upoe.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Twende chama langu Simba,Nimewapa over 2.5 saaf bado moja tuu
 
Back
Top Bottom