Jidanganye kuwa kila siku ni jmosi , unaweza kupigwa husiamini macho yako.Waache wapite then nusu fainali tukutane tuwakumbushie 5:0 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jidanganye kuwa kila siku ni jmosi , unaweza kupigwa husiamini macho yako.Waache wapite then nusu fainali tukutane tuwakumbushie 5:0 🤣🤣
Ft 0-1
Ombi lako limesikikaGoooooool la pili Jooobeeeee
🤣🤣🤣🤣Tunajua kuna ‘namna’ lakini nendeni taratibu basi jamani, eh!
UnatesekaaaGalaxy wananiangusha Mimi nimeandaa kuku wangu kesho nile kuku pilau ye anafanya ujinga gani sasa?
WAmepandwa na hasira sanaWalioingia humo kuishangilia timu pinzani nawaona tu mnatafuna BIG G....
mapema tu mshabadili gia, tunamkumbuka mzee mwinyi hata jwaneng nao wamesema kufunga ni ruksaMechi rahisi sana, vibonde vimekutana.
Galaxy kazinguaUnatesekaaa
Roho yangu inafuraha saaanaaOmbi lako limesikika
😁Tunajua kuna ‘namna’ lakini nendeni taratibu basi jamani, eh!
😃😀Hivi Hawa galaxy walifiakaje uku
[emoji28]Hii Simba ilikua wapi...
Mtatuua kwa kisukari si kwa utamu huu ..