Mechi hii tutashinda, ila namna timu inacheza hairidhishi, tuna makosa mengi saana, tukikutana na timu bora zaidi hatutoboi, kifupi tutaishia hatua inayofata.
Jobe humu sio striker ya kutumainia, ni mwendo wa zuri na baya, saidoo kazi na umri atuache, Kibu denis nguvu kulukundu, akili nfogo, nguvu nyingi.
NB akili ya mpira ya chama ni kubwa mnoo, ikiwezekana miaka yake apewe hata kibu na wenzie, ili chama abaki kijana..
Kwa ligi yetu ya tanzania huyu ndio mchezaji bora zaidi kupata kutokea kwenye ligi yetu