Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Wamezidiwa tu. Wacha wapigwe kama ngoma ili wawe na heshima na Tanzania. Piga wiki hao wana msimbazi.Kuna uzi ulifunguliwa umu JF kua hizi timu kubwa kuna namna nje ya uwanja wanaset mambo kwanza
Mimi kama vile naamini hivi.. hizi mechi mbili za yanga na CR, Simba na galaxy hazipo kikawaida kabsaa
yaan timu pinzan zinakua ni kama zimeduwaa sio kuduwaa kuzubaa sio kuzubaaa