FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Kuna uzi ulifunguliwa umu JF kua hizi timu kubwa kuna namna nje ya uwanja wanaset mambo kwanza

Mimi kama vile naamini hivi.. hizi mechi mbili za yanga na CR, Simba na galaxy hazipo kikawaida kabsaa

yaan timu pinzan zinakua ni kama zimeduwaa sio kuduwaa kuzubaa sio kuzubaaa
Wamezidiwa tu. Wacha wapigwe kama ngoma ili wawe na heshima na Tanzania. Piga wiki hao wana msimbazi.
 
Back
Top Bottom