FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Bila shaka hayatakuwepo mambo ya back pass mpaka mwisho.

Njia rahisi ya kuulinda huu ushindi ni kuendelea na kasi hii ya kushambulia
 
kuna mwana utopolo alikua ananiuliza ivi broo mechi za robo fainali zinapangwa lini, nikabaki nacheka kweli ushamba mzigo yani wenge hadi amini kama atapangiwa mechi za robo fainali ila sikushangaa sana ndio kawaida ya ugeni nakumbuka hata zamani ilikua ukinunuliwa nguo ya sikukuu kila saa unaijaribisha chumbani nafikiri watanza kuzoea
 

Attachments

  • 20240301_105740.jpg
    20240301_105740.jpg
    61.5 KB · Views: 2
Mechi hii tutashinda, ila namna timu inacheza hairidhishi, tuna makosa mengi saana, tukikutana na timu bora zaidi hatutoboi, kifupi tutaishia hatua inayofata.
Jobe humu sio striker ya kutumainia, ni mwendo wa zuri na baya, saidoo kazi na umri atuache, Kibu denis nguvu kulukundu, akili nfogo, nguvu nyingi.

NB akili ya mpira ya chama ni kubwa mnoo, ikiwezekana miaka yake apewe hata kibu na wenzie, ili chama abaki kijana..
Kwa ligi yetu ya tanzania huyu ndio mchezaji bora zaidi kupata kutokea kwenye ligi yetu
 
Back
Top Bottom