FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

.

Yanga wanaingiaje hapa?

Yanga ilishasecure robo fainali kitambo tu.

Mwamedi Saa hizi anatabasamu ana uhakika wa kuvuta Mpunga wa CAF Kwa kuingia robo.

Kumbuka mwenye timu hapangiwi matumizi ya pesa zake.
Mudi ni mwekezaji tu, sio mmiliki wa Simba.
 
Wale Makocha Wa Jwaneng Jasho linalowamiminika sio mchezo...!

Hasa yule aliyetoa maneno ya Shombo..
Ameonja kwa nusu ya kwanza maana ya neno kisasi. Ngoja tuone 2nd half.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…