Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Mudi ni mwekezaji tu, sio mmiliki wa Simba..
Yanga wanaingiaje hapa?
Yanga ilishasecure robo fainali kitambo tu.
Mwamedi Saa hizi anatabasamu ana uhakika wa kuvuta Mpunga wa CAF Kwa kuingia robo.
Kumbuka mwenye timu hapangiwi matumizi ya pesa zake.