FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Attachments

  • 20240301_105740.jpg
    20240301_105740.jpg
    61.5 KB · Views: 3
Kuna uzi ulifunguliwa umu JF kua hizi timu kubwa kuna namna nje ya uwanja wanaset mambo kwanza

Mimi kama vile naamini hivi.. hizi mechi mbili za yanga na CR, Simba na galaxy hazipo kikawaida kabsaa

yaan timu pinzan zinakua ni kama zimeduwaa sio kuduwaa kuzubaa sio kuzubaaa
 
Back
Top Bottom