Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Kipindi cha pili simba wakaze na waongeze magoli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Itakuwa wapo humo wanatoa updates
Labani og NALIA NGWENA pitieni pande hizi ...Role model wa Pacome huyo
Unaambiwa Pacome humwambii kitu kuhusu Chama hata humuweke mbele ya Ronaldo, Pacome anaenda na Chama
Wakitupa hata magoli sita au 7 sio mbaya..Kipindi cha pili simba wakaze na waongeze magoli.
Anavizia ubwabwa wa msibani ama?Labani og ameonekana mitaa ya malindi simba chai.
Inasemekana amekwenda zanzibar kwa maziko ya mstahafu
Utopolo wamemuuza🤣🤣Kaiingia kwenye mfumo.Wale Makocha Wa Jwaneng Jasho linalowamiminika sio mchezo...!
Hasa yule aliyetoa maneno ya Shombo..
awa watoto wakifa Goli chache Sana ni TanoKipindi cha pili simba wakaze na waongeze magoli.
Ukija Tanzania ukiingia kwenye mfumo ujuwe umeumia.Galaxy n kama wamezubaishwa ivi [emoji1787] hawa ni TRA iliyochangamka
Hata ikibaki hivi halafu Simba watupe show game itapendeza.Wakitupa hata magoli sita au 7 sio mbaya..
Ikawa hata 7:0
Yanakuja Muda Siyo MrefuWakitupa hata magoli sita au 7 sio mbaya..
Ikawa hata 7:0
Lol.Niko hapa mtani nawapa watu Panadol
Wacha weeh5imba 0 vs Galaxy 1
Boll Itembee Boll ItembeeSimba inatembeza boli kamba tatu na chuma mbili zimegonga mwamba... Chama akicheza namba 10 namna hii anakua hatari mno, What a player!
Usidhani viongozi wa Simba ni wajinga kumuomba msamaha Chama na Chama akaamuwa kuwasamehe.Chama unaweza kuzani alipata mafuzo ya Soka Holland kumbe ni kijana kutoka Zambia apo