FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Screenshot_20240302_195517_Chrome.jpg
 
Kuna kitu walifanya hawa na Yanga ndo maana wakawa na confidence hivyo sema vime backfire
 
.

Yanga wanaingiaje hapa?

Yanga ilishasecure robo fainali kitambo tu.

Mwamedi Saa hizi anatabasamu ana uhakika wa kuvuta Mpunga wa CAF Kwa kuingia robo.

Kumbuka mwenye timu hapangiwi matumizi ya pesa zake.
[emoji23][emoji23][emoji23]Fujo zote hizo ni kwa ajili ya maokoto ya Mwamedi.
 
Ndo Kusema Mwaka huu Simba kwenye CL kapoteza Mchezo mmoja tu mpaka sasa...!

Watu Wabaya hata hawakumbushii....!
Timu zote Bora zilishaingia robo fainali kabla ya mechi za mwisho.

Mechi za mwisho wamezitumia kukamilisha ratiba Tu.
 
Simba 3-0 Galaxy

Hakuna ripoti za mtu kuzimia

Zaidi kama mashabiki tumeghadhabika kwa magoli machache tuliyopata kipindi cha kwanza.

Yale mashuti mawili ya Chama yaliyogonga mwamba yamenifanya nivunje aifoni yangu ya 15 pro.

Watu wananishangaa kwanini sionekani kujali kuharibika kwa simu yangu badala yake naonekana kukasirika kipindi cha kwanza kuhitimika kwa goli chache.
 
Nilivyoona tu wachezaji wamepaka mafuta ya simba nikajua hawa watswana watateseka sana leo
 
Pamoja na kwamba Mimi ni shabiki wa Simba lakini tukifanikiwa kuingia robo fainali tusibweteke kabisa. Hii Galaxy ni daraja TU la kufikia robo fainali hakuna timu hapa. Hii galaxy haina tofauti na Gwambina FC.
Wewe Shabiki wa Simba Toka lini?
 
Back
Top Bottom