lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Sio TU chini ya uvungu,Bali uvungu wa kitanda Cha hospitali ya AmanaSiku ya leo peke yake ameanzisha nyuzi 10. Atakuwa Chini ya uvungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio TU chini ya uvungu,Bali uvungu wa kitanda Cha hospitali ya AmanaSiku ya leo peke yake ameanzisha nyuzi 10. Atakuwa Chini ya uvungu.
Halafu eti mnamfananisha na Pacome😀Usidhani viongozi wa Simba ni wajinga kumuomba msamaha Chama na Chama akaamuwa kuwasamehe.
Kama ndivyo sifikishi SalamNdio Mtani.
Show game huwa zinapomza waongeze hata sabaHata ikibaki hivi halafu Simba watupe show game itapendeza.
[emoji23][emoji23][emoji23]Fujo zote hizo ni kwa ajili ya maokoto ya Mwamedi..
Yanga wanaingiaje hapa?
Yanga ilishasecure robo fainali kitambo tu.
Mwamedi Saa hizi anatabasamu ana uhakika wa kuvuta Mpunga wa CAF Kwa kuingia robo.
Kumbuka mwenye timu hapangiwi matumizi ya pesa zake.
Timu zote Bora zilishaingia robo fainali kabla ya mechi za mwisho.Ndo Kusema Mwaka huu Simba kwenye CL kapoteza Mchezo mmoja tu mpaka sasa...!
Watu Wabaya hata hawakumbushii....!
Pamoja na kwamba Mimi ni shabiki wa Simba lakini tukifanikiwa kuingia robo fainali tusibweteke kabisa. Hii Galaxy ni daraja TU la kufikia robo fainali hakuna timu hapa. Hii galaxy haina tofauti na Gwambina FC.Usidhani viongozi wa Simba ni wajinga kumuomba msamaha Chama na Chama akaamuwa kuwasamehe.
Pacome hawez kufananishwa na mbuzi yoyote nchin tanzaniaHalafu eti mnamfananisha na Pacome😀
Ndoto zingine ni za kupuuzwa tuWacha weeh
Wewe Shabiki wa Simba Toka lini?Pamoja na kwamba Mimi ni shabiki wa Simba lakini tukifanikiwa kuingia robo fainali tusibweteke kabisa. Hii Galaxy ni daraja TU la kufikia robo fainali hakuna timu hapa. Hii galaxy haina tofauti na Gwambina FC.
Pacome hawez kufananishwa na mbuzi yoyote nchin tanzania