FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Chama ndio icon ya mpira kwa Tanzania

Sio kama wajinga kila msimu kumsajili, ukweli wanaujua ili inawalazimu kutukuza vya kwao (hata kama vibovu) kwasababu nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani.
Nungungu hawezi kuwa icon kwa taifa kama TZ mmeanza kuwehuka mashabiki wa Mo sabuni
 
Hawa Galaxy hawaja muheshimu mpinzani wao na sizani kama waliistudy hii mechi. Naona Chama anafanya atakalo, kwani ndiye mwenye Ramani ya magoli,kiganja kina muhusu.

Vp cocastic ule mpango wa kipindi ulisema Chama anauzwa bado upo?
Kwaiyo
Kwa Ufupi unataka Kusema ' Hawana Heshima'....
 
Wewe Shabiki wa Simba Toka lini?
Wewe nani hadi unibishie. Tuache ushabiki usio na tija. Mimi nitafurahi kama simba itaingia robo fainali lakini ukweli utabaki kwamba kule robo fainali ni pazito timu yetu ijipange vilivyo kama tunataka kufika nusu fainali ai hata fainali.
 
Hawana kwa kifupi sielewi wanacheza style gani, kwani kipindi cha kwanza walikuwa wanakula tano, washukuru zile mbili zilizo kula post.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado hujasemaaaa, yaan hapo badooo.
 
Back
Top Bottom