Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile bleach masharti ya majini yaleCHAMA fundi wala hana BLEACH.....wala haringi...
Nungungu hawezi kuwa icon kwa taifa kama TZ mmeanza kuwehuka mashabiki wa Mo sabuniChama ndio icon ya mpira kwa Tanzania
Sio kama wajinga kila msimu kumsajili, ukweli wanaujua ili inawalazimu kutukuza vya kwao (hata kama vibovu) kwasababu nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani.
Ndiye mbebaji mkeka wa marehemu.Anavizia ubwabwa wa msibani ama?
KwaiyoHawa Galaxy hawaja muheshimu mpinzani wao na sizani kama waliistudy hii mechi. Naona Chama anafanya atakalo, kwani ndiye mwenye Ramani ya magoli,kiganja kina muhusu.
Vp cocastic ule mpango wa kipindi ulisema Chama anauzwa bado upo?
Hana bayaaa triple C wetu.CHAMA fundi wala hana BLEACH.....wala haringi...
Onywanisha?Nyanoko bhebheee...
Hawana kwa kifupi sielewi wanacheza style gani, kwani kipindi cha kwanza walikuwa wanakula tano, washukuru zile mbili zilizo kula post.Kwaiyo
Kwa Ufupi unataka Kusema ' Hawana Heshima'....
Wewe nani hadi unibishie. Tuache ushabiki usio na tija. Mimi nitafurahi kama simba itaingia robo fainali lakini ukweli utabaki kwamba kule robo fainali ni pazito timu yetu ijipange vilivyo kama tunataka kufika nusu fainali ai hata fainali.Wewe Shabiki wa Simba Toka lini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari tupuu.Muda huu ingekuwa ni Gongowazi basi Ambulance zingekuwa zinapishana tu kusombelea walio zimia
Kocha ana kazi ya kumfundisha offside trickJobe anatengeneza Offside nyingi sana kwaninj
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado hujasemaaaa, yaan hapo badooo.Hawana kwa kifupi sielewi wanacheza style gani, kwani kipindi cha kwanza walikuwa wanakula tano, washukuru zile mbili zilizo kula post.
Kinehe?Onywanisha?