Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani ginehe?Kinehe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuliaaa kwan mtaniii, muache chama wetu,Hawa Galaxy hawaja muheshimu mpinzani wao na sizani kama waliistudy hii mechi. Naona Chama anafanya atakalo, kwani ndiye mwenye Ramani ya magoli,kiganja kina muhusu.
Vp cocastic ule mpango wa kipindi ulisema Chama anauzwa bado upo?
Wewe ni Utopolo.Pamoja na kwamba Mimi ni shabiki wa Simba lakini tukifanikiwa kuingia robo fainali tusibweteke kabisa. Hii Galaxy ni daraja TU la kufikia robo fainali hakuna timu hapa. Hii galaxy haina tofauti na Gwambina FC.
nazungumzia kufungwa babaTumefuzu mzee baba
Ongezaaa sautiiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Form is temporary but Class is permanentView attachment 2922432
Huyu hastahili tena kucheza simba, aende Ihefu huko.Kibu ashukuru sana kuwepo Simba. Lakini naona kama haoni hiyo bahati ya kuwepo kikosini.
No mjinga sana, kapata TU sifa kwa sababu Simba hatuna wachezaji wazuri lakini ni wakawaida sana.Kibu ashukuru sana kuwepo Simba. Lakini naona kama haoni hiyo bahati ya kuwepo kikosini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na watamfananisha na kila mtu, had watafika kwa metacha, uwiiiiiiihChama ndio icon ya mpira kwa Tanzania
Sio kama wajinga kila msimu kumsajili, ukweli wanaujua ili inawalazimu kutukuza vya kwao (hata kama vibovu) kwasababu nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani.
OnywanishaKinehe?
Hivi hii uliisahau eehMke wetu kolo anafanya mazoezi ya kukata kiuno kwa galaxy ili akija geto tumpige bao 5 tena
timu zote za group B zimecheza na Galaxy, sio Simba pekeePamoja na kwamba Mimi ni shabiki wa Simba lakini tukifanikiwa kuingia robo fainali tusibweteke kabisa. Hii Galaxy ni daraja TU la kufikia robo fainali hakuna timu hapa. Hii galaxy haina tofauti na Gwambina FC.
Jana mlifungwa...tuliaaaMke wetu kolo anafanya mazoezi ya kukata kiuno kwa galaxy ili akija geto tumpige bao 5 tena
Kama topolo alivyobanduliwa na kutulia.Mbanduliwe huko mtulie