FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Hawa Galaxy hawaja muheshimu mpinzani wao na sizani kama waliistudy hii mechi. Naona Chama anafanya atakalo, kwani ndiye mwenye Ramani ya magoli,kiganja kina muhusu.

Vp cocastic ule mpango wa kipindi ulisema Chama anauzwa bado upo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuliaaa kwan mtaniii, muache chama wetu,
Mchezaji mwenye mpira wakee.
 
Chama ndio icon ya mpira kwa Tanzania

Sio kama wajinga kila msimu kumsajili, ukweli wanaujua ili inawalazimu kutukuza vya kwao (hata kama vibovu) kwasababu nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na watamfananisha na kila mtu, had watafika kwa metacha, uwiiiiiiih
 
Mke wetu kolo anafanya mazoezi ya kukata kiuno kwa galaxy ili akija geto tumpige bao 5 tena
Hivi hii uliisahau eeh
DF44n0dXcAA_OZl.jpg

mqdefault.jpg
 
Pamoja na kwamba Mimi ni shabiki wa Simba lakini tukifanikiwa kuingia robo fainali tusibweteke kabisa. Hii Galaxy ni daraja TU la kufikia robo fainali hakuna timu hapa. Hii galaxy haina tofauti na Gwambina FC.
timu zote za group B zimecheza na Galaxy, sio Simba pekee
 
Back
Top Bottom