FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Simba mmepiga bomu mochwari mnashangiliaaa, ila hongereni watani😀
Mwenzio wa kuitwa Labani og kaanzisha Uzi juzi,simba tukishinda apigwe ban.

Sasa nasemajeee,ndugu Active kwa heshima na unyenyekevu wooote,huyo jamaa apigwe ban ya kuiongelea simba. Ban yake iwe kama ya Manara ya kutokanyaga Kwa Mkapa.
 
Utopolo mnachukua notes lakini??
Notes za kufanyaje wakati hatua unayoishiaga ndio naye kaingia? Sasa muanze kuvuka robo ili umuache hatua utopolo ila kwasasa wote mpo darasa moja la robo fainali. Tuome ni nani kidume wa kufuka hili darasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakutafutaaaaa sanaaa weeeee kiumbeee.
Nipo dada yangu nilikuwa napata burudani hapa kutoka Simba sc mpira mwingi sana hapa full Raha yaani
 
Back
Top Bottom