FT | Simba SC 6-0 Kilimanjaro Wonders | CRDB Bank Federation Cup | 1.26.2025

FT | Simba SC 6-0 Kilimanjaro Wonders | CRDB Bank Federation Cup | 1.26.2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Match Day

Leo, Mnyama Simba SC atakuwa dimba la KMC Complex akicheza na Kilimanjaro Wonders, mechi raundi ya tatu CRDB Bank Federation Cup.

Mnyama amesema mechi hii ni ya kuwapongeza wachezaji wao kwa kutinga robo fainali ya CAF CC.

IMG_2756.jpeg


Hiki hapa kikosi cha Simba SC
IMG_2761.jpeg


Kikosi cha Kilimanjaro Wonders SC

IMG_2763.jpeg


Kipindi cha kwanza kimeanza

1' Simba SC 0-0 Kilimanjaro Wonders SC

1' Goooal Valentino Mashaka anafunga goli

4' Goooal Ladack Chasambi anafunga goli

9' Goooal (OG) - Kilimanjaro Wonders wanajifunga kupitia mchezaji wao Patrick Sebastian


14' Mechi imesimama, golikipa wa Kilimanjaro Wonders anapatiwa matibabu.

15' Mechi inaendelea…

21' Gooal Joshua Mtale

23' Kilimanjaro Wonders wanafanya Sub ya wachezaji wawili

26' Simba Sc - Awesu anatoka baada ya kuumia anaingia Omary Omary

30' Timu zinapata maji (cooling break)

32' Wachezaji wamerejea uwanjani, mechi inaendelea

33' Simba wanapata free-kick nje ya box la Wonders

45' Dakika 3 zimeongezwa kukamilisha dakika 45 za kipindi cha kwanza

Mpira Mapumziko

HT: SIMBA SC 4-0 KILIMANJARO WONDERS
Kipindi cha pili kimeanza huku Simba wakifanya mabadiliko Edwin Balua na Steven Mukwala wakiingia

45' Simba SC 4-0 Kilimanjaro Wonders

48' Goooal Steven Mukwala anapiga goli la 5

52' Kadi ya njano kwa Joseph Sefue

63' Kilimanjaro wanafanya mabadiliko

64' Simba wanafanya mabadiliko anatoka Mzamiru anaingia Debora Fernandes

80' Goooal Edwin Balua
82' Simba wanafanya mabadiliko, anatoka Hamza Abdulzazak anaingia Kijili

90' dakika 5 zimeongezwa

Mpira umeisha

FT: SIMBA SC 6-0 KILIMANJARO WONDERS

 
Utabiri wa kikosi cha leo kinaweza kuwa hivi:

1. Salum
2. Duchu
3. Nouma
4. Chamou
5. Kazi
6. Okejepha
7. Mutale
8. Mzamiru
9. Mukwala
10. Chasambi
11. Balua
 
Utabiri wa kikosi cha leo kinaweza kuwa hivi:

1. Salum
2. Duchu
3. Nouma
4. Chamou
5. Kazi
6. Okejepha
7. Mutale
8. Mzamiru
9. Mukwala
10. Chasambi
11. Balua
Nimekosea wachezaji 3 tu na hao wamebadilishwa dakika za mwisho 😂🤣😂
 
Mwenye link ya hii mechi tafadhali. Sina access za Azam max hapa nillipo. Asante
 
Back
Top Bottom