FT | Simba SC 6-0 Kilimanjaro Wonders | CRDB Bank Federation Cup | 1.26.2025

FT | Simba SC 6-0 Kilimanjaro Wonders | CRDB Bank Federation Cup | 1.26.2025

Hawa Kilimanjaro wonders(wachaga) Bora wajikite kwenye biashara tu.mpira siyo fani Yao.Tutajionea wonders
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Akuna kosa but msijisifu kwamba mmeifunga timu inayojielewa,,alafu msilinganishe kati ya timu aliyocheza nayo yanga jana na mnayocheza nayo nyie,,ni vitu viwili tofauti
Mmeanza..hamkosin sababu
 
Akuna kosa but msijisifu kwamba mmeifunga timu inayojielewa,,alafu msilinganishe kati ya timu aliyocheza nayo yanga jana na mnayocheza nayo nyie,,ni vitu viwili tofauti
Zote sawa kwa kuwa zote hazijawahi kucheza na Simba au Yanga.

Hayo Madaraja ni kama CAF ranking tu. Simba kwa kufuata CAF ranking Iko juu ya Yanga lakini walifungwa 5-1 na Yanga.
 
Zote sawa kwa kuwa zote hazijawahi kucheza na Simba au Yanga.

Hayo Madaraja ni kama CAF ranking tu. Simba kwa kufuata CAF ranking Iko juu ya Yanga lakini walifungwa 5-1 na Yanga.
Hapana bwana wale copco walionyesha namna walivyo kwenye ligi yenye ushindani ya daraja la kwanza na uliona mbinu za kiufundi za kocha wao aliwazuia yanga vizuri sana,,lakini Hawa hapana aisee
 
Match Day

Leo, Mnyama Simba SC atakuwa dimba la KMC Complex akicheza na Kilimanjaro Wonders, mechi raundi ya tatu CRDB Bank Federation Cup.

Mnyama amesema mechi hii ni ya kuwapongeza wachezaji wao kwa kutinga robo fainali ya CAF CC.

View attachment 3214580

Hiki hapa kikosi cha Simba SC
View attachment 3214775

Kikosi cha Kilimanjaro Wonders SC

View attachment 3214797

Kipindi cha kwanza kimeanza

1' Simba SC 0-0 Kilimanjaro Wonders SC

1' Goooal Valentino Mashaka anafunga goli

4' Goooal Ladack Chasambi anafunga goli

9' Goooal (OG) - Kilimanjaro Wonders wanajifunga kupitia mchezaji wao Patrick Sebastian

14' Mechi imesimama, golikipa wa Kilimanjaro Wonders anapatiwa matibabu.

15' Mechi inaendelea…

21' Gooal Joshua Mtale

23' Kilimanjaro Wonders wanafanya Sub ya wachezaji wawili

26' Simba Sc - Awesu anatoka baada ya kuumia anaingia Omary Omary

30' Timu zinapata maji (cooling break)

32' Wachezaji wamerejea uwanjani, mechi inaendelea

33' Simba wanapata free-kick nje ya box la Wonders

45' Dakika 3 zimeongezwa kukamilisha dakika 45 za kipindi cha kwanza

Mpira Mapumziko

HT: SIMBA SC 4-0 KILIMANJARO WONDERS
Kipindi cha pili kimeanza huku Simba wakifanya mabadiliko Edwin Balua na Steven Mukwala wakiingia

45' Simba SC 4-0 Kilimanjaro Wonders

48' Goooal Steven Mukwala anapiga goli la 5
Kamdomo jana aliona kapataaa
 
Back
Top Bottom