FT | Simba SC 6-0 Kilimanjaro Wonders | CRDB Bank Federation Cup | 1.26.2025

FT | Simba SC 6-0 Kilimanjaro Wonders | CRDB Bank Federation Cup | 1.26.2025

Kuna watu wakisikia "academy" huwaza labda ni watoto wadogo.

Akademi maana yake ni wachezaji chipukizi wanaofundishwa kucheza Mpira kisasa na kitaalam!

Hawa huwezi kuwafananisha na wajumbe wa chama cha ushirika walioamua kujiunga pamoja kuunda timu kucheza Kandanda wakitoka kazini.😀😆😃
Aione ngara23 na Mjukuu wangu To yeye
 
Unapataje ujasiri wa kumtishia mwakilishi pekee wa Tanzania aliyebaki kwenye mashindano ya CAF ngazi ya Vilabu??
5imba ambayo inacheza shirikisho
5imba ambayo nimemfunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
 
5imba ambayo inacheza shirikisho
5imba ambayo nimemfunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Unapata wapi ujasiri wa kumtishia mwakilishi pekee wa Tanzania aliyebaki kwenye mashindano ya CAF ngazi ya Vilabu ewe Mzee wa kuishia makundi??
 
Unapata wapi ujasiri wa kumtishia mwakilishi pekee wa Tanzania aliyebaki kwenye mashindano ya CAF ngazi ya Vilabu ewe Mzee wa kuishia makundi??
Shirikisho nayo ni mashindano ya kujivunia au ni uchafu tu
 
Back
Top Bottom