Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ivo waliowaleta wacheze na Simba wamekosea?Walifunga timu ya daraja la kwanza wewe umefunga timu ya daraja la ngapi iyo ebu tuambie!
Hadi Mutale kafunga?sio poaMatch Day
Leo, Mnyama Simba SC atakuwa dimba la KMC Complex akicheza na Kilimanjaro Wonders, mechi raundi ya tatu CRDB Bank Federation Cup.
Mnyama amesema mechi hii ni ya kuwapongeza wachezaji wao kwa kutinga robo fainali ya CAF CC.
View attachment 3214580
Hiki hapa kikosi cha Simba SC
View attachment 3214775
Kikosi cha Kilimanjaro Wonders SC
View attachment 3214797
Kipindi cha kwanza kimeanza
1' Simba SC 1-0 Kilimanjaro Wonders SC
1' Goooal Valentino Mashaka anafunga goli
2' Goooal Ladack Chasambi anafunga goli
9' Goooal (OG) - Kilimanjaro Wonders wanajifunga kupitia mchezaji wao Patrick Sebastian
14' Mechi imesimama, golikipa wa Kilimanjaro Wonders anapatiwa matibabu.
15' Mechi inaendelea…
21' Gooal Joshua Mtale
Kama wangewafunga mngekuwa wajinga wa kutupwa,,timu ya daraja la tatu iyoKwa ivo waliowaleta wacheze na Simba wamekosea?
Kama wangewafunga Simba ungesemaje?
Kosa la Simba kuwafuga hao jamaa hapo lipo wapi?Kama wangewafunga mngekuwa wajinga wa kutupwa,,timu ya daraja la tatu iyo
🤣Mmekosea Hapo heading au
Goli ni 4 Mara hii?
Kikosi cha pili isipokuwa Hamza tu hapo🤣🤣🤣Kocha wenu yuko serious kikos chote iki anawatesa watoto