FT | Simba SC 6-0 Kilimanjaro Wonders | CRDB Bank Federation Cup | 1.26.2025

FT | Simba SC 6-0 Kilimanjaro Wonders | CRDB Bank Federation Cup | 1.26.2025

Wanachokifanya Simba ni ukatili dhidi ya binadamu,watetezi wa haki za binadamu wapo wapi?
 
Kuna watu wakisikia "academy" huwaza labda ni watoto wadogo.

Akademi maana yake ni wachezaji chipukizi wanaofundishwa kucheza Mpira kisasa na kitaalam!

Hawa huwezi kuwafananisha na wajumbe wa chama cha ushirika walioamua kujiunga pamoja kuunda timu kucheza Kandanda wakitoka kazini.😀😆😃
 
Back
Top Bottom